ما با گل‌حبیب حبیبی از افغانستان که در یک دامداری در شهر کانویا، استان کاگوشیما از گاوها مراقبت می‌کند، و روکش راج گیری اهل نپال که یک فروشگاه میوه و سبزیجات را در توکیو اداره می‌کند، آشنا می‌شویم.
In 2023, one in 27 children in Japan was not attending school, a record high. But children at one free school enjoy themselves. Seeing them thrive reminds adults to see matters from a child's view.
Balap kereta luncur anjing memukau para penonton dalam sebuah kompetisi di Prefektur Hokkaido, Jepang utara.
Timu ya wanasayansi inasema kwamba ongezeko la halijoto ya maji ya Bahari ya Pasifiki limekuwa likiongeza kasi ya kupungua ...
Serikali iliandaa miongozo mwaka wa 2015 kwa ajili ya hatua za watu wasioweza kurudi nyumbani wakati wa majanga kufuatia Tetemeko Kubwa la Ardhi la Mashariki mwa Japani. Iliandaliwa kwa kuzingatia ...
Mnara mrefu zaidi nchini Japani, Tokyo Skytree, ambao ni eneo maarufu la kitalii, ulifungwa kwa muda baada ya abiria 20 kukwama kwenye lifti kwa zaidi ya saa tano.
Marekani na Iran zinaelekea kwenye awamu nyingine ya mazungumzo wiki hii, huku Marekani ikiendelea kutumia shinikizo la kijeshi. Iran imeonya kwamba itaitikia "vikali" kitendo chochote cha uchokozi.
Uholanzi imemwapisha Waziri Mkuu mwenye umri mdogo zaidi nchini humo. Rob Jetten, mwenye umri wa miaka 38, aliingia madarakani Februari 23, miezi kadhaa baada ya chama chake kushinda uchaguzi wa Baraz ...
Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney atazuru nchini Japani wiki ijayo kwa mazungumzo na Waziri Mkuu Takaichi Sanae. Hii itakuwa ...
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC imeanza kusikiliza kikao cha awali cha kesi za Rais wa zamani wa Ufilipino Rodrigo Duterte, ambaye anashtakiwa kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu.
Februari 24 inatimia miaka minne tangu Urusi ilipoanzisha uvamizi wake nchini Ukraine. Marekani inaendelea kuratibu ...
يوافق يوم الثلاثاء مرور أربع سنوات على غزو روسيا لأوكرانيا. وتواصل واشنطن مساعيها للتوسط في محادثات السلام لإنهاء الصراع، بينما تتمسك موسكو بموقفها المتشدد.